Sijui kwa upande wako
ila upande wangu,
Yeye hajui ila mimi mfuatiliaji wake humu JF, nyuzi zake hazina shangwe sana, hauwezi kuta zina comments ila huwa ni kuntu, comments zake huwa zipo nje ya box, kiufupi kwangu namuona ni jamaa alie smart sana humu na hajali kuhusu umaarufu wala nini...