Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza msamaha wa miezi miwili kwa wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria, ambapo watalindwa dhidi ya mashitaka endapo watasalimisha silaha hizo kwa hiari kuanzia Septemba 1 hadi Oktoba 31, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Septemba 1, 2025 na...