Duru za kuaminika zikimuhusisha jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara wa vilevi pamoja na nyama ya nguruwe(kitimoto) maeneo ya misufini huko morogoro , Zinadai Leo biashara ya kitimoto na bia imechanganya sana.
Duru zimeenda mbali na kudai kuwa mpaka kufika majira ya saa 9 mchana wa...