15 June.. Remember this date..
Hatujakumbukwa.. Basi nasi tusijisahau..Raha jipakulie mwenyewe hutajipunja
Una lolote la kumwambia baba yako? Liweke hapa kama kumbukumbu ya siku yake duniani
Sherehekea akina baba, babu, baba wa kambo na kumbukumbu za baba leo Juni 15 kwa matakwa makuu ya...