Wakuu mpo good
Leo asubuhi nimeamka nikiwa nimechelewa kwenda kazini. Nikatoka nje kwa haraka, nikakutana na boda mmoja nikamsimamisha.
Nikamuuliza, “Mwanangu, nataka kwenda sehemu fulani, mpaka huko ni shingapi?” Akaniambia bei yake, nikakubali. Tukapanda, safari ikaanza fresh kabisa. 😅...