Kiongozi wa chama cha National Unity Platform (NUP), Robert Sentamu Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amejitosa tena katika kinyang’anyiro cha urais nchini Uganda, ambapo uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika Januari 2026.
Kwa mujibu wa taarifa za chama hicho, siku ya Jumatatu viongozi...