Magesa Inyasi, mwenye ulemavu wa macho na mkazi wa Musoma Mjini mkoani Mara amejipatia umaarufu mkoani hapo kutokana na kipaji chake cha kipekee cha kutunga nyimbo za papo kwa papo kulingana na matukio ya kijamii, kidini na kitaifa, huku akitumia mdomo na vidole vyake kuiga midundo ya vyombo vya...