Tajiri hasalimii..
UFAFANUZI KWA KIFUPI.
Ninaposema siamini uwepo wa Mungu simaanishi Mungu hayupo, pengine yupo au hayupo ila ni mimi ndiyo siamini.
Na ndiyo maana huitwa:
Imani za kidini.
Imani za kishirikina nk.
Juzi nilitabiri kuhusu Dabi ya kariakoo na pengine utabiri wangu umeingia...