Tukio la moto lililochoma bweni la shule ya Sekondari Makanya wilayani Same mkoani Kilimanjaro limeibua maswali kuhusu usalama wa miundombinu ya shule na uwezekano wa hujuma.
Wakati wanafunzi 14 wakipata mshtuko na mali yenye thamani ya zaidi ya milioni tano ikiteketea, Serikali na wadau wa...