Mkazi wa Kijiji cha Chela katika Halmashauri ya Msalala Mkoani Shinyanga, Buluba Jilasa (70) amejeruhiwa na fisi kwa kung’atwa sehemu mbalimbali za mwili wake akiwa amelala.
Akizungumza na waandishi wa habari akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Halamashauri ya Mji wa Kahama Jilasa...