Msanii wa muziki Shilole amepata ajali ya gari akiwa njiani kurejea Dodoma kutoka mkoani Kigoma, alikokuwa ameshiriki katika shughuli ya kijamii iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Babalevo, iliyojulikana kama Pilau Day.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Mbunge wa...