Habari zenu WanaJF,
Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi...