shida ya maji goba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Goba Lastanza hatuna maji tunaelekea mwezi wa pili sasa. Nani ananufaika na hali hii?

    Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari. Tatizo hili si geni na limekuwa likijitokeza mara kwa mara. DAWASA, Serikali za Mitaa, Mbunge na uongozi wa mkoa wanafanya nini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Nini kimetokea DAWASA? Maji yamepotelea wapi? Kuna matatizo gani?

    Wakuu, salama? Kuna hali inashangaza sana. Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka kuelekea mwishoni mwa mwaka jana around hiyo November kuna hali ya upungufu wa maji ilitokea maeneo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania KERO Sifieni mnavyoweza lakini huku Goba maji tunaletewa mara Moja kwa wiki tena usiku mnene

    Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata. Wananchi wamekata tamaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…