Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke, amewaomba Watanzania kuingia mwaka 2026 kwa kusameheana na kuachana na chuki, akisisitiza kuwa msamaha ni nguzo muhimu ya kudumisha amani, upendo na mshikamano wa kitaifa.
Akizungumza leo na Jambo TV, Sheikh...