Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂
-------------
Sehemu ya dua kutoka kwa Sheikh Hassan Kabeke wakati wa mkutano wa Kampeni za Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa kumeanza kutokea viashiria vya lugha mbaya zinazotoka kwa viongozi wa kisiasa nchini, ambazo zinaweza kusababisha amani ya nchi kupotea.
Sheikh Kabeke amesema hayo wakati wa mashindano ya...