Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbura, ametoa wito kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa nafasi pekee isiyopaswa kuwania ni ya Urais ambayo tayari...