Iran Leo wamepata pigo la kuondokewa na Mkuu wa Majeshi kufuatia shambulio la Israel. Apumzike kwa amani Jenerali
===
Kamanda Mkuu wa Walinzi wa Mapinduzi Jenerali Hossein Salami, ameuawa katika shambulio la Israeli, mashirika ya habari ya Iran Tasnim na Mehr yameripoti, huku televisheni ya...