shamba la miti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Plot4Rent Shamba la miti linauzwa Njombe

    Habari ndugu, KUNA SHAMBA LA MITI AINA YA MIPAINA LINAUZWA, Shamba lipo mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe mjini, kata ya Kifanya, kijiji cha Lilombwi. Lina ukubwa wa ekari 20, na kila ekari inauzwa kwa shilingi 1,200,000/=. Unaweza kununua kuanzia ekari tano. Miti ina muda wa miaka minne tangu...
  2. Natafuta mwenye milioni 5 tushirikiane kuendeleza shamba la miti kisha tutagawana faida baada ya mavuno

    Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea mwenye mtaji huo na tukashilikiana na kwa wema na juhud nipo tayari tukishamaliza kuvuna miti na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…