Pale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa (dakawa).
Kuna mchongo wako ewe kijana wa kupiga pesa .
Kuna mapori ya bure kabisa una feka kwa tani yako unapata shamba la umwagiliaji ...