Dakika 5 tu za salaam pale kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Mhambwe umetuthibitishia kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hakufanya makosa kukupendekeza na hatimaye kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM...