shahada za heshima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nigeria: Waziri wa Elimu Tunji Alausa apiga marufuku waliopata shahada za heshima kutumia title ya "Dr"

    Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi. Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Howard chamvua Diddy shahada ya heshima

    Bodi ya Chuo Kikuu cha Howard, kihistoria kinachotambuliwa kuwa chuo kikuu cha watu weusi huko Washington DC, imeazimia kumvua Sean "Diddy" Combs shahada yake ya heshima. Tangazo hilo linakuja baada ya CNN kuchapisha video ya CCTV ya mtayarishaji huyo wa muziki wa hip-hop akimpiga mpenzi wake...
  3. JamiiForums Tanzania President Samia Suluhu Hassan will receive another honorary doctorate in aviation management from Korea Aerospace University (KAU)

    President Samia Suluhu Hassan will receive another honorary doctorate in aviation management from Korea Aerospace University (KAU) during her visit to South Korea. This will be her fifth honorary degree since she came to power on March 19, 2021. The degree will be awarded in honor of her...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…