Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela kupitia Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Shabani Itutu ameitaka Serikali itoke hadharani kukemea matukio ya utekaji yanayoendelea kuripotiwa nchini
Akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti kwenye ziara ya kampeni ya mtaa kwa mtaa katika kata ya...