Sheikh Shaban Pembe ametoa onyo kwa vijana ambao ni Waislamu kutolalamika au kubeba ajenda za watu wengine. Amesema kuwa kutokana na misimamo yao, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita “machawa,” kuwakejeli kuwa hawana PHD na kudai hawajasoma, jambo alilosisitiza halipaswi kuwakatisha tamaa wala...