serikali ya uganda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ya Uganda kuanza kukamata magari mabovu barabarani kuanzia April 8

    Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ujenzi nchini Uganda, Fred Byamukama, ametangaza operesheni kali ya siku 20 ya kuondoa teksi chakavu na zisizotunzwa vizuri barabarani, hasa katika mji wa Kampala. Kwa mujibu wa agizo hilo, kuanzia Aprili 8 mamlaka zitaanza kuwaondoa barabarani magari yote...
  2. Uganda yatangaza kuzima Intaneti kuanzia leo Januari 13 ili kupisha Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa. Kwa mujibu...
  3. Serikali ya Uganda yapiga marufuku vyombo vya habari kurusha "live" habari za maandamano

    Serikali ya Uganda imeweka masharti mapya yanayozuia vyombo vya habari kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano siku chache kabla ya uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026. Kupitia agizo lililotolewa Januari 5 na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  4. Wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo waachiliwa huru na serikali ya Uganda, baada ya siku 38

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Faith Odhiambo, amewakaribisha wanaharakati Nicholas Oyoo na Bob Njagi, ambao walipatikana usiku wa Alhamisi katika mpaka wa Busia baada ya kutoweka kwa siku 38. Kupitia taarifa aliyotoa katika mtandao wa X, Odhiambo alisema kuwa, kwa kushirikiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…