Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17), maarufu kama Serengeti Boys, leo inashuka dimbani kuivaa Senegal U-17 katika mchezo wa mwisho wa michuano ya TotalEnergies AFCON U-17.
Mchezo huo utaanza saa 4:00 usiku katika Uwanja wa Stade Moulay Hassan, Rabat, Morocco...