Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana.
Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
Ukitoa ubovu wa miundombinu iliyopo katika sekta ya usafirishaji na mapungufu yaliyopo kwenye makampuni ya usafirishaji tatizo kubwa lipo kwa mamlaka ya usafiri aridhini LATRA na serikali maana mapendekezo mengi ya abiria yamekuwa yakipuuzwa na wasafirishaji wamepewa kipaumbele.
Hali hiyo...