sekretariati ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya CHADEMA walioteuliwa na Tundu Lissu

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa wajumbe wanane wa sekretarieti na kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliothibitishwa na Baraza Kuu la chama hicho Januari 22, 2025. Mbali na kutengua, ofisi hiyo imetoa maelekezo kwa chama hicho kikuu cha upinzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…