December 2018 Chuma zake za kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya Kwa Ajili Ya Utambulisho
Agosti 2019
Sauli Aliongeza Basi lake la Tatu Kutoka Scania Kwa Mara Nyingine Lenye Namba Ya Usajili...