Habari Wana Jamvi,
Natanguliza Shukran. Nakuja Kwenu Kama Familia Yangu/Jamii Yangu. Naomba Msaada Mwenye Sanduku La Posta Ambalo Lipo Active Nitumie Kupokea Document Yangu Mara Moja tu. Mimi sio Mtumiaji wa Sanduku la Posta na Wala sijui sana kuhusu posta Lakini Imenibidi nitumie Kipindi Hiki...