samia kalamu award

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Humphrey Polepole: Waandishi waandamizi walipewa mlungula na Serikali siku ya tuzo za 'Samia Kalamu', na umeanza kufanya kazi kwenye uchaguzi

    Humphrey Polepole akizungumza na wananchi kupitia mitandao ya kijamii ameweka wazi kuwa waandishi waandamani wengi wamepewa mlungula na Serikali ili wasiongee mambo ya msingi, akitolea mfano kwenye hafla ya tuzo za ''Samia Kalamu'' kuwa Serikali ilitoa mlungula hadharani kinyume na matumizi ya...
  2. W

    Balile na wenzake watunukiwa zawadi ya Milioni 10 kila mmoja kwa kuandika habari zisizoligawa Taifa

    Hiki kinachofanyika ni kama kuwafanya waandishi waandike habari ambazo watawala wanataka kuzisikia na zile wasizoitaka isichapishwe. Hii inahatarisha mustakabali wa waandishi nchini. === Wizara ya habari imetoa zawadi maalumu kwa Deodatus Balile, Absalom Kibanda, Mbaraka Islam na Haula Shamte...
  3. Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari za Samia Kalamu Awards

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Awards’ ambazo zinalengo la kuchochea na kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo katika nyanja mbalimbali. Tuzo hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…