Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC.
Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant.
Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na...