samia aapishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  2. GE2025 Samia sio Rais halali wa Tanzania. Kaiba Uchaguzi kuliko alivyoiba Magufuli 2020

    Unajua huwezi kuiba uchaguzi halafu watanzania wasijue Kwa sababu wanaosimamia uchaguzi ni hao hao watanzania. Nimeshangazwa na kiwango Cha wizi wa uchaguzi alichokifanya Samia na wahuni wenzake. Nimejiuliza sana endapo sisi tunaojiita waislamu kweli tuna hofu ya Mungu au laa !! Kituo Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…