Chama cha ACT Wazalendo kimeonesha kutoridhishwa na namna Mbunge wa Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Bi. Anne Kilango Malecela anavyolihudumia jimbo lake kikisema kuwa alitoa taarifa za uongo bungeni kuhusu uwepo wa viwanda vya tangawizi jimboni humo, kinyume na uhalisia uliopo kwa wananchi...