Salome Kitomari anakumbusha wajibu wa waandishi wa habari kutoa taarifa Sahihi, pamoja na kupambana dhidi ya Taarifa Potofu kwa kutumia nyenzo za kidijitali zinazosaidia kubainisha Uhalisia wa Taarifa na
Mathalani nyakati za uchaguzi, Taarifa Sahihi ni chachu muhimu ya kuwawezesha wananchi...