Wananchi 1,908 wametembelea Banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara, Sabasaba 2025 yaliyomalizika leo Julai 13, 2025
Hayo yamebainishwa leo Julai 13, 2025 katika kilele cha Maonesho hayo na Daktari bingwa Mbobezi wa Mifupa...