saasisha mafuwe

Saasisha Elinikyo Mafuwe (born 10 October 1982) is a Tanzanian Chama Cha Mapinduzi politician and civil servant. He is the current Member of Parliament for Hai constituency in Kilimanjaro Region since 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mbunge Saashisha Mafuwe: Vijana wanaomaliza vyuo kama tusipowaangalia ni bomu lingine

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameionya Serikali kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu vyuo vikuu kila mwaka inaweza kugeuka kuwa ‘bomu la kijamii’ ikiwa hakutakuwa na mpango madhubuti wa kuwaingiza kwenye sekta za uzalishaji. Akichangia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
  2. Saasisha Mafuwe: Rais Samia hajawahi kuwa mnyonge, ni shupavu kweli

    Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Saasisha Mafuwe (CCM), akitoa taarifa Bungeni kuweka sawa kauli ya Mhe. Ester Bulaya (CCM) kauli ya ''Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni'' na kusema Rais Dkt Samia ni shupavu na hajawahi kuwa mnyonge.
  3. PreGE2025 Mzee amshushia dua ya baraka Mbunge Saasisha Mafuwe adai Moyo wake unalia

    Mbunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saasisha Mafuwe ameendelea na ziara yake ya Kata kwa Kata katika wilaya hiyo kwa lengo lakuwaeleza wananchi yaleyaliyofanyika kwakipindi cha miaka minne tangu ateuliwe kuwa Mbunge wa Hai. Pia kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kata hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…