Wakili Kibatala, amesisitiza umuhimu wa vyombo vya utoaji haki nchini kutenganisha kwa uangalifu dhana ya kutokuendeshwa na shinikizo la mtaani huku vikizingatia maoni na matarajio ya jamii ili kuepusha mifumo ya kisheria kujitenga na wananchi. Aliyasema hayo alipokuwa akizungumza pembezoni mwa...