rpc mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  2. RPC Mwanza ni Comedy asiyejitambua

    Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza. Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo...
  3. K

    Tumpe maua yake RPC wa Mwanza DCP Wilbrod Mutafungwa

    Sisi wananchi wa Mkoa wa Mwanza tunakupongeza sana kwa uchapaji wako wa kazi katika Mkoa wetu. Tangu ulipohamishiwa katika Mkoa wetu matukio mengi ya kihalifu yamepungua sana. Katika funga kazi ya kukupa maua yako ni pale ulipofanikiwa kuwaokoa watoto wawili waliotekwa na wahalifu kwa kuwakuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…