Rapa Megan Thee Stallion na kampuni yake ya Roc Nation watalazimika kukabiliana na kesi mahakamani baada ya jaji kukataa kufuta baadhi ya madai yaliyowasilishwa na aliyekuwa mpiga picha wake, Emilio Garcia.
Garcia alifungua kesi mwaka 2024, akidai kuwa wakati wa ziara ya Megan barani Ulaya...