robo fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo. Alphonce Omija 55' Fenohasina Razafimaro 69'
  2. Hongera Kenya kwa kutinga hatua ya robo fainali ya CHAN

    Wote tuliguna pale makundi ya CHAN yalivyotangazwa. Kenya alipangwa kundi ambalo tulidhani asingetoboa ila mwisho wa siku ameshinda mechi mbili akiwa anacheza pungufu na kamaliza hatua ya mwanzo kwa kuongoza kundi. Kenya wanacheza pia kiufundi. Hawachezi tu jihadi, unaona kabisa wanacheza...
  3. Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  4. Hongera Taifa Stars kufuzu robo fainali ni historia kubwa sana kwa Taifa

    Hongereni wachezaji, bechi la ufundi na uongozi kiujumla kwa kazi nzuri ya mliifanya hadi kufika hapa! Si kazi rahisi ni kujitoa kwa wachezaji na kujipathamani wao na kujiuza katika soka zaidi. Ule Usimba na Uyanga aupo ndani ya wachezaji wote wanajitoa kufanya walichotumwa na kocha wao na...
  5. Exclusive video ya Simba Robo Fainali ya CAF Cup 1993

    Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania. Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
  6. Full Time: KVZ FC 0 - 2 Yanga SC | Robo Fainali ya Kombe la Muungano | Aprili 26, 2025

    KVZ FC 0 - 0 Yanga SC | Robo Fainali ya Kombe la Muungano | Aprili 26, 2025
  7. C

    Kuelekea mechi ya marudiano robo fainali send off league: Mashabiki wa Al Masry tukutane hapa

    Sisi mashabiki wa tjmu yetu ya Madrassa ya Al Masry tukutane hapa tukiichagiza mechi ya marudiano.
  8. FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  9. FT | Al Ahly SC 1-0 Al Hilal Omdurman | Robo Fainali CAF CL | Cairo International Stadium | 01.04.2025

    Mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly SC dhidi ya Al Hilal Omdurman inachezwa leo saa 4:00 usiku kwenye dimba la Cairo International Stadium. 🔴 Live updates utapata hapa! Tazama vikosi vya timu zote (Team news) Dahane Beida amepuliza kipyenga...
  10. FT: Mamelodi Sundowns 1-0 Esperence | Robo Fainali | CAF Champions League | Loftus Versfeld | 01.04.2025

    Leo michezo ya robo fainali kwa Caf Champions League inaanza. Robo fainali ya kwanza imeshaanza Mamelodi Sundowns Vs Esperence katika dimba la Loftus Versfeld Karibu twende live🔴 ================================================ 15’ Mamelodi 0-0 Esperence 17’ Mchezo umesimama kupisha kipa wa...
  11. Yanga haitacheza tena robo fainali ya CAFCL hadi itakapofika mwaka 2076

    Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24. Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema...
  12. Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

    Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
  13. Droo ya robo fainali ya CAFCL & CAFCC itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha Alhamisi, Februari 20, 2025.

    Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku ya Alhamisi, Februari 20, 2025. Hatua iko tayari tunapopanga ratiba ya kusisimua ya robo fainali...
  14. M

    Yanga yatinga robo fainali ligi ya mabingwa kwa kuichabanga Copo mabao 5 0

    Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie. Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal. Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za...
  15. L

    Tahadhari kwa Simba, mjiandae kwa hujuma michuano ya shirikiaho africa robo fainali na kuendelea

    Wapinzani wa Simba wamekua wakiumia sana Kwa mafanikio yenu katika michuano ya Kimataifa. Wameumia sana kutolewa hatua ya makundi. Wameumia sana Kwa Simba kufuzu kuingia robo fainali. Wapo kati Yao wanaomini kua Simba ndio waliohujumu ili wao wasifuzu. Wanaona wivu kua huenda Simba ikaingia...
  16. Tathmini ya wapinzani watatu watarajiwa wa Simba hatua ya robo fainali CAF Shirikisho

    Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya Misri. Hii ni tathmini yangu fupi ya timu hizi tatu na aina ya upinzani ambao Simba iutegemee. AL...
  17. Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

    Pokeeni salamu na shukrani
  18. Simba atakutana na zamalek robo fainali

    Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
  19. N

    Uzalendo kwanza:Tunaomba 'CAF' wairuhusu Simba iwape Yanga alama mbili ili wafuzu kuingia robo fainali!

    Habari wana jukwaa... Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali. Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
  20. Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…