RITA Kilombero (Ifakara) wanachelewesha sana kutoa vyeti, halmashauri nyingine vyeti vinatoka haraka ndani ya siku 1-4 lakini kilombero inaweza kuchukua hadi mwezi.
Kuna mazingira ya rushwa pale rita kilombero, niliwahi kutuma maombi kupitia erita, ili nikachukulie cheti pale rita kilombero...