richard abwao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SACP Richard Abwao na utulivu wa mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Tabora!

    Mara baada ya kuisikia CV ya Marehemu SACP Richard Abwao (RiP) ndio natambua kwa nini ni mtu mwema sana na aliyetendea haki nafasi yake. Kumbe kupoa kwa hekaheka za Mikoa ya Simiyu,Shinyanga na sasa Tabora kwa kiasi kikubwa yupo Askari Kamanda mwenye weledi na asiyekuwa na kelele nyuma yake...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA RPC wa TABORA ACP Richard Abwao afariki dunia

    Hapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema.. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa. ===== Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la polisi Tabora: Matishio yamejitokeza ila mkoa umebaki salama, kwasababu Wananchi hawataki vurugu

    Jeshi la Polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi kwamba usalama wao utakuwa wa kimsingi katika sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Richard Abwao, amesema jeshi hilo litaendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…