Kilichoanza kama video iliyosambaa mitandaoni sasa kimehamia mitaani. Vijana wamejitokeza leo huko Buruburu, Nairobi, wakielekea katika Kanisa la Redeemed Gospel Church, wakitaka hatua zichukuliwe kufuatia video inayomuonyesha msichana anayetambuliwa kama Jahenda akidhalilishwa na kundi la...