Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema kuwa hadi kufikia mwaka 2025 chini ya Rais Samia, Dhahabu zenye uzito wa gramu 1,301,842.81 zenye thamani ya shilingi bilioni 134.78 zimeuzwa kupitia soko la madini la Mkoa, ambapo shilingi bilioni 9.43 zimekusanywa...