rc sendiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Sendiga amwagiza Mkuu wa Polisi Simanjiro kumkamata Afisa Polisi kwa uzembe Kesi ya Ujauzito wa Mwanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa kumkamata kijana aliyemsababishia ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari...
  2. PreGE2025 RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld, kata ya Gitting. Kisima hicho ni miongoni mwa visima 25 vinavyochimbwa kwa ushirikiano kati ya...
  3. PreGE2025 RC Sendiga achukia kukuta zahanati haitumiki, atoa agizo hili

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  4. RC Sendiga akagua utekelezaji wa Nishati safi Gereza la Wilaya ya Babati

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akizungumza na uongozi wa Gereza la Wilaya ya Babati mara baada ya kufanya ukaguzi wa utekelezaji wa utumiaji wa Nishati safi ya kupikia gerezani hapo. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza Solomoni Mwambingu na Mkuu wa Jeshi la Magereza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…