Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amewatuliza wakazi wa mkoa huo kufuatia taarifa za madai ya njama za makundi kutaka kufanya vurugu kama zile za kipindi cha uchaguzi.
Amesema wananchi waendelee na shughuli zao kawaida, kwani hakuna shughuli itakayositishwa na vyombo vya usalama vimejipanga...