MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika.
Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...