Dunia ya muziki wa hip hop mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya wasanii kuwa kwenye kutokuelewana ama bifu, lakini mashabiki wengi sasa wanaamini ni muda sahihi kwa Disasta Vina kumfungulia tena milango Rapcha.
Vijana hawa wawili wamewahi kuandaa vibao vilivyotikisa, lakini ule mstari maarufu...