Kama Umri Wako Unasoma Miaka 20 – 40, Uko Kwenye Daraja Hatari Zaidi.
Hapa Ndipo Unapochora Ramani Ya Uzeeni Kwako, Au Unapochimba Kaburi La Majuto Yako.
Kabla 50 Haijakugonga Ukaanza Kuilaumu Dunia; Shika Hizi Kanuni. Na Zikukae Kichwani Mpaka Unazeeka↓
Kwanza kabisa, jifunze kuamsha mwili...