raja casablanca

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ben Malango: Straika lililohitajika Yanga lauzwa Uarabuni kwa bilioni 8

    Ni mtambo wa magoli uitwao Ben Malango uliosemekana umeshashushwa na GSM umesajiliwa kwa bilioni 8 huko kwenye hela za mafuta yaaani ilibaki kidoooogoooooo tu atue utopolo kutoka Raja casablanca.
  2. JamiiForums Tanzania Raja Casablanca 1-0 Namungo | Mohammed V Stadium | CAF Confederation

    Timu ya Namungo iko ugenini nchini Morocco kukipiga na Raja Casablanca kwenye michuano ya Shirikisho Afrika hatua ya makundi. Mpira uko mapumziko na mpaka sasa Raja Casablanca na Namungo hakuna alieona nyavu za mwenzake. Kuwa nami kukujuza ngwe ya pili ya mchezo huu. ======= 45' Kipenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…